Make an enquiry Muuzaji mwenye sifa natakiwa kutuma taarifa zifuatazo:- i. Bei kwa tani, ii. Sehemu mzigo ulipo na iii. Kiwango cha mzigo ili kuunganishwa na mnunuzi. Kadhalika Muuzaji anatakiwa kuwa na vibali vya kusafirisha bidhaa nje ya nchi. Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inawaunganisha wazalishaji wa mazao hayo na wanunuzi kupitia barua pepe: enquiries@tantrade.go.tz info@tantrade.go.tz Aidha taratibu za kusafirisha bidhaa hizo nje ya nchi zimeainishwa kwenye tovuti ya www.trade.tanzania.go.tz